Kiswahili Teachers and Students Workshop – Kings Academy (Nakuru)
Kongamano La Kiswahili – Kings Academy (Nakuru)
Kings Academy na CHAKINA tunakualika katika kongamano la walimu na wafunzi wa Kiswahili litakalofanyika mnamo Jumamosi, Juni 03, 2023 katika ukumbi wa Shule ya Msingi ya KINGS ACADEMY Nakuru (Deliverance Church).
Kikao kitaanza saa 8:00 Asubuhi na kukamilika 4:00 Alasiri. Kila shule inaombwa kuwatuma walimu wa Kiswahili.
Kiingilio ni shilingi 1,5001= kwa kila mshiriki. Kauli mbiu itakuwa ni: KISWAHILI URITHI WETU
– Masuala ibuka katika mtaala wa Kiswahili – CBC –J.S.S
– Mbinu bora za kufunza Kiswahili kwa teknolojia ya kisasa, CBC na J.S.S
– Kuandaa wanafunzi kwa mtihani wa KCPE 2023
– Uandishi, uhariri na uchapishaji wa vitabu.
– Kiswahili na uanahabari.
– Uwasilishaji na kurekodiwa kwa vipindi vya RADIO 47 na WEST TV/RADIO (Mashairi na masimulizi)
Watakaozishughulikia mada hizi ni:
– Abubakar Tsalwa – Mwalimu mwandishi na mshirikishi wa kipindi cha Bahari Ya Elimu, Radio 47.
– Hassan Mwana Wa Ali – Radio 47, Bahari Ya Elimu.
– Balozi Ustadh —Balozi Mentorship Hub, Nairobi
– Meja S. Bukachi — Mwalimu , Mwandishi na Mhariri.
– Kaka Fred—West Tv — Mwalimu, Mwanahabari na Mwandishi.
Wasiliana nasi kwa: 0726599702 / 0724554819 / 0734384375.
Wako waminifu, Henry Ogada – HEADTEACHER
Kiswahili Teachers and Students Workshop – Kings Academy (Nakuru)