
The Annual National Languages Teachers Workshop (English & Kiswahili)- Nakuru Girls High School
Nakuru Girls High School Languages department wishes to invite all teachers of English to a One day workshop scheduled for Saturday 20th May 2023 at the school’s Assembly Hall from 8:00 am to 4:00 pm.
The workshop aims at sharing the experience, expertise and knowledge of very senior KNEC examiners who will give insight into;
i. KCSE setting trends over the years.
ii. Ways of teaching and examining new set books – 101/3.
iii. Literary appreciation, comprehension and grammar – 101/2.
iv. Functional writing and oral skills (101/1).
Ksh. 2,5001= will be charged per participant.
Certificates, meals and stationery will be provided.
Kindly confirm attendance by 15/05/2023 for purpose of planning.
Use the following number: 0725244891, Mr. Ambrose Walela.
Welcome all.Yours faithfully,
Lilian Ocham – HOS ENGLISH
Mary Murage – HOD LANGUAGES
Kiswahili National Teachers’ Workshop – Nakuru Girls School
MINT: KONGAMANO LA KITAIFA LA WALIMU WA SOMO LA KISWAIIILI – SHULE ZA UPILI
Idara ya Kiswahili ya shule ya Upili ya Nakuru Girls ina fahari kuwaalika walimu wa shale yako kuhudhuria Kongamano la Kiswahili litakalofanyika Jumamosi tarehe 20, Mei 2023 (20/05/2023) kwenye Bwalo la shule.
Kongamano litaanza saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni.
Vikao vitashughulikia:
i. Ufundishaji na utahini wa vitabu viteule vipya vya fasihi (Mapambazuko ya Maebweo, Bembea ya Maisha na Nguu za Jadi)
ii. Maswala ibuka na mitindo mipya katika utahini wa karatasi zote tatu za Kiswahili. 101/1- Simon Ngige – Alliance High. 102/3- Hassan Makombo
iii. Namna ya kuwaandaa wanafunzi wa mwaka huu ili kupata matokeo mazuri.
Kila mshiriki atatozwa ada ya shilingi elfu mbili na mia tano (2,500/=).
Ada hii itagharamia maandalizi, vyeti na vyakula. Tafadhali thibitisha kushiriki kwenu kabla ya tarehe 15/5/2022 kupitia nambari: 07145208581 / 0781664924 -Bw. Vincent Too.
Kiswahili National Teachers’ Workshop – Nakuru Girls School
Bw. Too Vincent HOS- KISWAHILIBi. Mary Murage HOD- LANGUAGES
The Annual National Languages Teachers Workshop (English & Kiswahili)- Nakuru Girls High School